UZINDUZI WA UKUMBI WA MAZOEZI (GYM AND FITNESS)

Tuesday, 21st January 2025
Home / Blog / gym-and-fitness

Kampuni ya Gekahil imefungua ukumbi wa mazoezi BUGARAMA, Msalala-Kahama, wenye vifaa vya kisasa na walimu walioidhinishwa (Certified Trainers) unaofunguliwa kila siku za wiki kuanzia saa 12:30 Asubuhi hadi saa 3:30 Usiku, na kwa bei nafuu kabisa. WOTE MNAKARIBISHWA

post image

Share On
Email share

Let’s connect and work together

For reliable, and best services
Contact Us