KUKABIDHI MRADI WA MAJI
Wednesday, 22nd January 2025
Mkurugenzi wa kampuni ya Gekahil inter Trade Limited, amekabidhi mradi wa maji katika shule ya msingi Bugarama iliyoko mkoa wa Shinyanga, wilaya ya Msalala, kata ya Bugarama, alioahidi katika mahafali ya darasa la saba alipoalikwa kama mgeni rasmi katika mahafali hayo. Tukio hilo lilishuhudiwa na Afisa Mtendaji wa kata ya Bugarama pamoja na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kata ya Bugarama na walimu wa shule ya msingi Bugarama wakiongozwa na mkuu wa shule hiyo.
Share On
Let’s connect and work together
For reliable, and best services
Contact Us